Abby Kazi - Music Video Director
Katika pita pita zangu nikakatiza pande za FACEBOOK. HEE! si nikaona picha ya ABBY KAZI Director wa video za muziki inayomuonyesha akiwa kwenye ndege.
Sasa nikajiuliza maswali mengi hivi huyu jamaa anakwenda wapi? sikupata majibu kwa sababu kichwa cha habari cha picha hiyo ameandika "At flyt" sijamuelewa vizuri kwa kweli.
LAKINI MIMI NILIKUWA NAPITA TU...
Ukitaka kutazama vizuri bonyeza hapa
No comments:
Post a Comment