Stuka Effects akiwa amevalia khanga
Nisingependa kujiita mmbea, lakini nilikuwa napita kwenye mtandao wa FACEBOOK nikakutana na picha hii inayomuonyesha STUKA EFFEKTS akiwa amevalia Khanga.
Kwanza nilishangaaa HEEE! lakini nikatazama vema mazingira nikagundua ni mazingira ya choo, hivyo akili ikanipa majibu kuwa huenda alikuwa anakwenda kuoga, hapo hapo swali lingine nikajiuliza sasa hatakama anakwenda kuoga iweje aiweke picha hiyo kwenye mtandao? je alikuwa anataka kutuambia nini?
MIMI SINA MAJIBU KWA SABABU NILIKUA NAPITA TU...!
Ukitaka kutazama vema picha hii bonyeza hapa.
No comments:
Post a Comment