Wednesday, May 8, 2013

MIMI NINAUNDUGU NA JACKIECHAN - TICO

Timoth Conrad Tico

Leo katika pita pita zangu katika mtandao wa FACEBOOK, si nikafungua kwenye profile ya editor mmoja mkali sana ambaye kila akitoa filamu ni lazima niitazame kujua amefanya maajabu gani.

Mara HEE nikakutana na picha inayomuonyesha akiwa amekunja ngumi kama anacheza karate, nikafungua kwenye comment kuona kama kuna lolote ninaweza kulipata si nikakutana na comment kama tano hivi moja ikiwa ni ya Adam Leo ikisema "hahaha na we unaact nini kaka? maana naona kitu cha actino hiko...." kabla jamaa hajajibu kitu akatumiwa swali lingine kutoka kwa Hilda Wiliam "Unaweza ngumi wewe?

Jamaa akajibu "Sana tuu wewe unanionaje? ninaundugu na jackiechan" kufikia hapo ndio nikawa na maswali mengi huju jamaa anaundugu na Jackiechan kweli au kwa sababu anapenda movie za action kwahiyo anajifananisha nae?


MIMI NILIKUWA NAPITA TU...!
kama ungependa kuona picha hii pamoja na comment nyinginezo bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment