Wednesday, May 8, 2013

JIDE NA RUGE KUMEKUCHA


SAKATA kati ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee 'jide' na Clouds Media Group juu ya kupigana vita kibiashara limechukua sura mpya baada ya mkurugenzi wa vipindi wa kampuni hiyo, Ruge Mutahaba kuvunja ukimya nakulitolea ufafanuzi.


JUDITH WAMBURA a.k.a LADY JAYDEE


RUGE MUTAHABA

MIMI NILIKUWA NAPITA TU...
Ukitaka kufika eneo la tukio na kuujua undani wa habari hii bonyeza hapa


No comments:

Post a Comment