Wednesday, May 8, 2013

MWAMBIE TRAVL ASINITUPIE DONGO - JACKIE JOHN

Jackie John

Leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa Facebook nimekutana na picha ya mwanadada huyu mrembo mwenye muonekano wa kipekee...

Jina lake ambalo anatumia kwenye facebook ni Jackie John, wakati natazama picha zake nikakutana na picha hiyo ambayo nimeiweka hapo juu, katika kusoma comment nikakutana na maongezi baina yake na mtu mwingine anayetumia jina la Salumu Kisamvu.

Inavyoonekana wanafahamiana kiaina, Salumu akamwambia "vipi umemcheki Travl?" Jack akajibu "Nop ngoja nimcheki" Salumu akaongeza neno "Anasema anakuvutia kasi" (sentensi hii sikuielewa kiaina anamvutia kasi kivipi?) Jackie akajibu kwa kusema "ILA MWAMBIE ASINITUPIE DONGO" hapa ndipo nikashtuka kumbe bibi huyu anaogopa madongo!

Nawaasa jamani msimtupie madongo dada wawatu ANAOGOPA.

MIMI NILIKUWA NAPITA TU...!
kama ukitaka kusoma comment nyingine za picha hiyo bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment