TUKIO la bomu lililotupwa kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasit, Arusha, linazidi kuumiza vichwa vya Watanzania, kiulizo tata kikipamba swali la ni yupi mhusika kati ya makundi matatu yanayotajwa.
MIMI NILIKUWA NAPITA TU...
Ukitaka kufika eneo la tukio na kuujua undani wa habari hii bonyeza hapa
No comments:
Post a Comment