Friday, May 10, 2013

JAMANI NAOMBA MSINITONGOZE - HABBY HABIB

HABBY HABIB (meneja wa msanii Beka)


Habari za saizi, mimi ni mzima na leo nimekuja na mchapo fulani kama kawaida yangu nilikuwa napita pita kunako FACEBOOK nikafungua kwenye page ya jamaa anaitwa HABBY HABIB ambaye ndiye manager wa msanii BEKA nilichokukuta kilinipa maswali sana...

Moja kati ya Post ambazo amezitupia kwenye timeline yake ni hii "Jmn tafadhalini hivi inakuaje mtoto wa kiume mwenzio akutake hii sii laana hii plz naomba usinisumbue ukiendelea nakutaja plz....." 

Hapo nilipata maswali mengi sana yakujiuliza, imekuwaje aandike vile? na je huyo anayemtaka analengo gani? mana ni mwanamme mwenzake... hapa mimi nisingependa kutia unafiki wala kokoro...

MIMI NILIKUWA NAPITA TU...!
Kama ungependa kuitazama post hiyo na ukaona jinsi watu walivyokoment bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment