Thursday, May 9, 2013
TAFADHALI MSINIPAKE MATOPE - RAYUU
Katika pitapita yangu kama kawaida nikatia maguu kwenye mtandao wa FACEBOOK, nikakutana na profile ya RAYUU binti mwenye kipaji cha uigizaji na vile vile mwenye mvuto wakipekee.
Kama kawa nikajishongondoa nikaanza kusoma post zake, mara HEE. nikakutana na post ambayo nahisi wakati anaiandika alikuwa katika hisia ya majonzi maana yanaonekana ni maneno kutoka moyoni mwake kabisaaaaa.
Alisema hivi "Ss hata kunijua hunijui zaidi yakuniona kwenye tv kwann kila nipitapo napata kashfa hii ya eti naringa??mm mtu mpenda amani,mpole,mchemshi,cn llt lakunifanya niringe wote ss ni udongo ss kwa nn mnanipakazia naringa nakufanya kila mtu aniseme vibaya?alf mtu akinizoea aah kumbe hata haringi!plzzzz usinipake matope mpo wengi sana;najisikia vibaya kila nikiskia hivyo!*****SAD*******."
HAYO NI MANENO YAKE NA MIMI NILIKUWA NAPITA TU...!
Kama utapenda na wewe kutembelea kwenye account yake bonyeza hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment