Katika pita pita zangu leo nimetembelea blog ya msanii maarufu na anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu kwa kipindi kirefu sana RAYMOND KIGOSI.
Sasa wakati napita si ndio nikakutana uso kwa uso na picha zinazomuonyesha yeye pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya RJ wakiwa wanatazama vifaa vipya ambavyo vimeagizwa hivi karibuni kwa ajili ya kuboresha kazi zinazofanywa na kampuni hiyo.
MIMI NILIKUWA NAPITA TU...!
Na kama ungependa kusoma na kutazama picha zingine zaidi bonyeza hapa.
No comments:
Post a Comment