Friday, May 10, 2013

NDUGU YANGU ANANICHUKIA - UWEZO EFFECTS

UWEZO EFFECTS

Katika kupita pita kama kawaida yangu, si nikakatiza kwenye page ya facebook ya kijana mmoja anaitwa AHMED JAMAL lakini kwenye page yake anatumia jina la UWEZO EFFECTS... Nilichokiona nimeshawishika kukileta kwenu ili mjue...

Uwezo Effects akiwa kazini


Nadhani nyote mnamfahamu kijana huyu na kwa wale ambao hawamfahamu huyu ni CAMERAMAN ambaye anafanya vizuri hivi sasa katika tasnia ya filamu na tayari ameshajizolea mashabiki wengi ambao wanafuatillia kazi zake, wengine wamekuwa wakimfananisha na kaka yake ambaye pia yupo katika gemu hii ya filamu, kaka yake anaitwa FARIDI UWEZO.

FARIDI UWEZO


Sasa moja kati ya post ambazo ameziweka Uwezo Effects ni hii "Why ndugu yangu wa damu moja unachukia maendeleo yangu? 
Hapo nilijiuliza maswali mengi sana hivi ndugu yake wa damu moja anaemzungumzia ni nani? yule tunayemjua ambaye na yeye yupo katika gemu hii au mwingine?

MIMI NILIKUWA NAPITA TU...!
Na kama utapenda kutazama picha na comment nyinginezo bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment