Wednesday, May 8, 2013

ACHA UTANI NIMEBANWA MWENZIO - RADO

Simon Mwapagata Rado.

Leo katika pita pita zangu nikakatiza kwenye mtandao wa FACEBOOK, Hee si nikafungua profile ya rafiki yangu Simon Mwapagata maarufu kama RADO ambaye kwa sasa ukikutana nae na ukamuita jina la MADUHU anafurahi na meno yote yanaonekana.

Kwenye picha hiyo anaonekana akiwa anagoma kupigwa busu na mwanamke ambaye sikufanikiwa kumjua ni nani. Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kutoka kwa  Ally Mirisho "Kubali kwani kung'atwa shavu silahisi? sisi tunatunatazama" sasa jibu alilojibu Rado ndilo lililonishangaza alijibu eti "Ally acha utani bwana mwenzako nimebanwa" hapa nilijiuliza sana maswali sasa alibanwa na nini?

MIMI NILIKUWA NAPITA TU...!
kama ungependa kuiona picha hiyo na kusoma comment nyinginezo bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment