Leo katika pita pita zangu nikakatiza mitaa ya Facebook, nikakutana na picha inayoonyesha jinsi watu walivyomakini katika kuchangia harusi kuliko elimu...
Shemson mmiliki wa kampuni ya usambazaji wa filamu inayoitwa SAS O Entertainment ndiye aliyeweka picha hiyo na kuwaasa watu kuwa makini katika kuchangia elimu hii ndiyo comment yake katika picha hiyo " Watanzania inabidi tuamke tuujue umuhimu wa kuchangia elimu"
Semson Alexanda upande wa kulia akiwa na Mlela pamoja na Jacklile wolper
MIMI NILIKUWA NAPITA TUU...!
Kama ungependa kuitazama picha hiyo kwenye Facebook na kusoma comment nyinginezo bonyeza hapa.
No comments:
Post a Comment